Tungo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d imeandikwa na Elisha the great
d imeandikwa na Elisha the great
Mstari 13:
#[[Kigezo cha maana]]
 
==sifaTungo za tungokishazi==
Kishazi ni tungo yenye kitenzi ambacho chaweza kujitosheleza na kukamilisha ujumbe uliokusudiwa na mzungumzaji au kuwa na kitenzi kisichoweza kujitegemea chenyewe.
 
==Sifa za tungo kishazi==
*Kishazi hupatikana katika/ ndani ya sentensi.
*Lazima kishazi kiwe na kitenzi, sehemu yoyote ya sentensi isiyo na kitenzi, haiwezi kuwa kishazi. Kishazi huru hutawaliwa na kishazi kikuu na kishazi tegemezi hutawaliwa na kishazi tegemezi.