Utabiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Utabiri''' ni uoteaji au ukisiaji wa mambo yatakayotokea muda ujao. Mtu mwenye uwezo wa kutabiri huitwa '''mtabiri''' Jamii:utabiri'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Utabiri''' au '''ubashiri''' ni [[uoteaji]] au [[ukisiaji]] wa mambo yatakayo[[tokea]]yatakayotokea [[muda]] ujao.
 
[[Mtu]] mwenye uwezo wa kutabiri huitwa '''[[mtabiri]]'''.
 
[[Jamii:utabiri]]
Mara nyingine utabiri unatokana na [[uchunguzi]] wa [[Sayansi|kisayansi]], kwa mfano utabiri wa [[hali ya hewa]].
 
Katika [[dini]] mbalimbali utabiri unatokana na [[karama]] maalumu ambayo mtu anajaliwa na [[Mwenyezi Mungu]].
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:utabiriElimu]]
[[Jamii:Dini]]