Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:East Africa WWI as at August 1915.png|thumb|300px|Ramani ya vita ya Afrika ya Mashariki mwaka 1915 <small>(kutoka New York timesTimes)</small>]]
{{History of Tanzania}}
'''Kampeni za Afrika ya Mashariki''' ulikuwa mfululizo wa mapigano ya kivita yaliyotokea [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] (Tanganyika, Rwanda na Burundi ya leo) na koloni jirani za [[Msumbiji]], [[Rhodesia ya Kaskazini]] (Zambia), [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (Kenya), [[Uganda]], na [[Kongo ya Kibelgiji]]. Kampeni hizi zilianza mwezi wa Agosti 1914 zikaisha rasmi mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 1918.<ref name="Holmes 2001, p. 361">Holmes 2001, p. 361.</ref>
 
Line 5 ⟶ 6:
Wapiganaji katika vita hii walikuwa [[Schutztruppe]] (jeshi la kikoloni cha Kijerumani) lililofanywa hasa na askari Waafrika waliosimamiwa na maafisa Wajerumani pamoja na walowezi Wajerumani na wanamaji wa manowari waliokaa Afrika ya Mashariki wakati wa mwanzo wa vita 1914. Dhidi yao walisimama jeshi dogo la kikoloni la Kiingereza katika Kenya na Rhodesia, halafu vikosi vya jeshi la kikoloni la Uhindi ya Kiingereza na vikosi kutoka Afrika Kusini. Kutoka magharibi walishiriki vikosi za Force Publique ya Kibelgiji kutoka Kongo. Tangu mwaka 1916 jeshi la kikoloni la Kireno liliingia upande wa Uingereza.
Mikakati ya jeshi la kikoloni la Kijerumani lililoongozwa na Luteni Koloneli (baadaye ''Meja-jenerali'') [[Paul Emil von Lettow-Vorbeck]] ililenga kuwalazimisha wapinzani hasa Waingereza kutumia wanajeshi wengi iwezekanavyo katika Afrika kwa shabaha ya kuwazuia wasipatikane kwenye vita ya Ulaya.
 
Mkakati yake ilifaulu kiasi cha kwamba Waingereza walipaswa kuleta vikosi vikubwa kutoka [[Uhindi ya Kiingereza]] na [[Afrika Kusini]] kupigania kempeni ya Afrika ya Mashariki. <ref>Holmes 2001, p. 359.</ref><ref>Strachan 2003, p. 642.</ref>
 
==Awamu laya kwanza: 1914-1915==
Katika awamu la kwanza la vita vikosi vya Schutztruppe vilishambulia [[reli ya Uganda]] na vituo vya mpakani na Kenya. Waingereza walijibu kwa kukusanya walowezi wao katika Kenya bila kufaulu kuwazuia Wajerumani walioteka mji wa [[Taveta]]. Hiyvo Waingereza walichukua askari 12,000 Wahindi na 2 Novemba 1914 walishambulia [[Tanga]]. Lakini askari Waafrika wa jeshi la Kijerumani waliwashinda Tanga na baadaye pia [[Longido]] karibu na [[mlima Kilimanjaro]], wengine huko [[Yasini]].
[[picha:Battle of tanga.jpg|thumb|250px|Mapigano ya Tanga]]
Hapo Waingereza waliamua kuchukua wanajeshi Wazungu kutoka Afrika Kusini chini ya amri wa jenerali [[Jan Smuts]] waliofika Kenya hadi mwisho wa 1915. Wakati huohuo Wabelgiji walipanga pamoja na Uingereza kupeleka vikosi vya jeshi lake Force Publique katika Kongo mpakani wa magharibi.
 
==Awamu laya pili: shambulio dhidi ya Tanganyika==
Januari 1916 jeshi hili lilishambulia. Jeshi la Kijerumani lilikuwa ndogo likafuata mikakati ya kuwachelewesha maadui na kuwashambulia walipokuwa wadhaifu au walipofanya makosa.
* Vikosi kutoka Uhindi, Afrika Kusini na Uingereza vilivamia Tanganyika kutoka upande wa Kenya
Line 28 ⟶ 29:
Kinyume chake Lettow Vorbeck aliwategemea hasa askari Waafrika waliokuwa na mahitaji madogo waliojua nchi na kuzoea magonjwa ya mazingira. Waingereza walitumia askari Waafrika hasa kwa kulinda reli ya Uganda kwa sababu mwanzoni walikosa imani katika uwezo wao.
 
==Awamu laya tatu: vita ya porinimsituni==
Tangu mwaka 1917 Waingereza walipunguza idadi ya Wazungu na Wahindi badala yake waliunda vikosi vipya vya Waafrika vya [[King's African Rifles]] waliokuwa na uwezo wa kushindana na Waafrika wa Lettow Vorbeck.
 
Walifaulu kusukuma jeshi la Schutztruppe kusini zaidi. Katika Oktoba 1917 waliwalazimisha Wajerumani kusimama kwenye mapigano ya [[Mahiwa]] ambako Lettow Vorbeck aliwashinda lakini alipoteza askari mamia. Pia akiba yake ya risasi ilielekea kwisha. Kikosi kikubwa cha askari 1000 chini ya kapteni Tafel walilazimishwa kusalimisha amri baada ya kuishiwa chakula na risasi kabisa. Hata kama hakushindwa Lettow Vorbeck hakuweza kuendelea vile akaamua kuondoka katika Tanganyika na kwenda Msumbiji alipotegemea Wareno kuwa adui mdhaifu.
 
==Awamu laya nne: Msumbiji na mwisho==
Mwisho wa Novemba 1917 Lettow aliwaacha wajeruhiwa na sehemu kubwa ya Wajerumani walioongozana naye nyuma akavuka mto Rovuma na askari 280 Wajerumani na Waafrika 1600.