Kameyama wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Kameyama hadi Kameyama wa Japani
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Kameyama.jpg|right|thumb|Mchoro wa Kameyama]]
'''Kameyama''' ([[9 Julai]], [[1249]] – [[4 Oktoba]], [[1305]]) alikuwa mfalme mkuu wa 90 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Tsunehito'', na alikuwa mwana wa saba wa [[Go-Saga]]. Mwaka wa [[1259]] alimfuata kaka yake [[Go-Fukakusa]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1274. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake [[Go-Uda]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}