Fushimi wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|Mchoro wa Fushimi '''Fushimi''' (10 Mei, 12658 Oktoba, 1317) alikuwa mfalme mkuu wa 92 (''T...'
 
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Fushimi.jpg|right|thumb|Mchoro wa Fushimi]]
'''Fushimi''' ([[10 Mei]], [[1265]] – [[8 Oktoba]], [[1317]]) alikuwa mfalme mkuu wa 92 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Hirohito'', na alikuwa mwana wa pili wa [[Go-Fukakusa]]. Mwaka wa [[1287]] alimfuata binamu yake [[Go-Uda]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1298. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake [[Go-Fushimi]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}