Mwaridi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza jamii
Nyongeza majina ya maua
Mstari 15:
na angalia katiba
}}
'''Mwaridi''' ni [[mti]], [[kichaka]] au [[mtambaa]] wenye miiba na maua yanukiayo vizuri. Kwa asili jina hili limetumika kwa ''[[Rosa x damascena]]'', lakini sikuhizi hutumika kwa spishi zote za jenasi ''[[Rosa]]''. [[Jenasi]] hii ni [[jenasi-mfano]] ya [[familia (biolojia|familia]] [[Rosaceae]]. [[Ua|Maua]] huitwa [[waridi|mawaridi]] au halwaridi.
 
== Spishi zilizotapakaa ==