Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 24:
Tarehe [[28 Juni]] [[1914]] katika [[mji]] wa [[Sarayevo]], [[Bosnia]], [[mwana]] wa [[Kaisari]] wa Austria aliyekuwa mfalme mteule aliuawa pamoja na [[mke]] wake na [[ugaidi|mgaidi]] [[Serbia|Mserbia]] mwanachama wa kundi la "[[Mkono Mweusi]]" lililopinga utawala wa Austria-Hungaria katika [[Bosnia]]. Austria iliamuru [[Serbia]] ifuate masharti makali katika [[uchunguzi]] wa tendo lile. Serbia ilipokataa sehemu ya mwisho ya masharti, Austria ilitangaza hali ya vita dhidi ya Serbia tarehe [[28 Julai]] [[1914]].
 
Agosti ya 1914 iliona kupanuka kwa vita hii: Warusi walikuwa na mkataba wa usaidizi na Serbia wakatangaza hali ya vita dhidi ya Austria-Hungaria. Hapo wakaingia Wajerumani waliokuwa na mapatano ya usaidizi na Austria-Hungaria wakitangaza hali ya vita dhidi ya Urusi. Urusi kwa upande wake ulikuwa na mkataba wa kusaidiana na Ufaransa, kwa hivyo hali ya vita ikajitokeza pia kati ya Ufaransa na Ujerumani. Uingereza ulijiungailijiunga na vita baada ya Wajerumani kuanza kuingiakuvamia eneo la [[Ubelgiji]] kwa shabaha ya kuvukakupita eneo lake haraka ilikwa uvamizi wavamiewa Ufaransa Kaskazini.
 
Kuanzia Oktoba 1914 [[Milki ya Osmani]] ([[Uturuki]]) ilijiunga na vita kufuatana na mkataba wake wa siri na Ujerumani.
 
Mwaka [[1915]] Italia ilijiunga na Wafaransa na Waingereza kwa kushambulia Austria-Hungaria iliyotawala bado maeneo katika kaskazini ya rasi ya Italia, ingawa awali ilikuwa na mkataba na [[dola]] hilo.
 
== Vita katika nchi mbalimbali ==