Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 53:
 
== Mwisho wa vita ==
Wakati 1917 mataifa ya Ulaya yalionyesha [[dalili]] za [[uchovu]]. Katika hali hiyo ma[[badiliko]] mawili makubwa yalitokea: Marekani ilijiunga na vita dhidi ya Wajerumani na Urusi ulionailiona mapinduzi yaliyolazimisha [[serikali]] mpya kutia [[sahihi]] mapatano ya kumaliza mapigano dhidi ya Wajerumani walioteka maeneo makubwa ya Urusi.
 
Nguvu ya Marekani ilionekana haraka na [[bahati]] ya Ujerumani ilipungua sana. Austria-Hungaria ilidhoofishwa vilevile.
 
Mwaka 1918 iliona mwisho wa vita. Milki za Austria na Uturuki zilikwisha zikagawiwa na sehemu zao zilikuwa nchi mpya au nchi zilizoundwa upya.
 
== Mkutano wa Paris ==