Nzi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:
 
==Jina==
Nzi ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote yaani karne ya 16. Hazikujulikani kwa Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika atlasi[[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]].
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] De Vlieghe ([[Nzi]]) iliyotajwa baadaye kwa jina la Kilatini „Musca“. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya [[Johann Bayer]] aliyetumia njia ya "Apis" (nyuki) na hivyo kuna vitabu vya zamani zinazotumia jina Apis lakini baadaye "Musca" ilirudishwa.