Kim Jong-un : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+matamshi
Mstari 1:
'''Kim Jong-un''' (matamshi ya Kikorea: [kim.dzʌŋ.ɯn] au [kim.tsʌŋ.ɯn]; alizaliwa 8 Januari 1982-84 au 5 Julai 1984), ni Mwenyekiti wa [[Chama cha Wafanyakazi wa Korea]] (WPK) na kiongozi mkuu wa Korea ya Kaskazini. Kim ni mtoto wa pili wa Kim Jong-il (1941-2011) na Ko Yong-hui. Kabla ya kuchukua madaraka, Kim alikuwa haonekanimara kwa mara kwa umma. Maelezo kama vile mwaka gani alizaliwa, na kama alienda kweli shule nchini [[Uswisi]] akitumia jina la uongo, ni vigumu kuthibitisha.
 
Mwanzoni kulikuwa na majadiliano ya kuunganisha Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini lakini Vita baridi ilileta uadui kati ya pande hizo mbili. Kila moja alianzisha serikali yake kulingana na itikadi yake. Warusi waliunga mkono utawala wa Kikomunisti Korea Kaskazini na Wamarekani waliunga mkono uchumi wa kibepari na serikali iliyochaguliwa kwa kura ya wengi Korea Kusini.