Simu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 3:
'''Simu''' ''(kutoka [[Kiarabu]] <big>سیم</big>, sim, inayomaanisha "waya")'' ni chombo cha [[umeme]]. Kimaana ni chombo cha [[mawasilianoanga]].
Matumizi ya simu
Awali simu ilihitaji iunganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[simu bila waya]].
Mstari 11:
Tangu mwisho wa [[karne ya 20]] kuna aina mpya ya simu iliyoenea ambayo ni [[simu ya mkononi]]. Ingawa haistahili kweli kuitwa tena "simu" kwa maana asilia kwa sababu hakuna simu ni aina ya [[mtambo]] wa [[mawasiliano]] uliosambaa haraka sana.
Katika nchi nyingi za [[Afrika]] simu hizi zina faida ya pekee
{{mbegu-sayansi}}
|