Johannes Hevelius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '200px|thumb|Johannes Hevelius jinsi alivyochorwa na Daniel Schulz wa Danzig Picha:Heveliusdenkmal.jpg|200px|thumb|Makumbusho y...'
 
No edit summary
Mstari 10:
Mwaka 1679 mwanastronomia Mwingereza [[Edmond Halley]] alimtembelea Danzig akiangalia nyota pamoja na Hevelius na kulinganisha vipimo.
 
Baada ya kifo cha mke wake wa kwanza aliendelea kazi ya nyota pamoja na mke wake wa pili [[Elisabeth Hevelius]] akatunga orodha ya nyota 1,564 iiyokuwa orodha kubwa la wakati wake. Humo alibuni [[kundinyota]] mpya na saba kati ya hizi zinaendelea kutumiwa kati ya orodha ya kundinyota 88 za kisasa za [[Ukia]]. Hizi ni [[Mbwa wawindaji (kundinyota)|Mbwa wawindaji]] (''[[:en:Canes Venatici (constellation)|Canes Venatici]])'', [[Mjusi (kundinyota)|Mjusi]] (''[[:en:Lacerta (constellation)|Lacerta]]''), [[Simba Mdogo (kundinyota)|Simba Mdogo]] (''[[:en:Leo Minor (constellation)|Leo Minor]]''), [[Linksi (kundinyota)|Linksi]] (''[[:en:Lynx (constellation)|Lynx]]''), [[Ngao Kundinyota)|Ngao]] (''[[:en:Scutum (constellation)|Scutum]]''), [[Sudusi (kundinyota)|Sudusi]] (''[[:en:Sextans (constellation)|Sextans]]'') na [[Mbweha (kundinyota)|Mbweha]] (''[[:en:Vulpecula (constellation)|Vulpecula]]''). Orodha hii pamoja na [[atlasi ya nyota]] (Prodromus Astronomiae) zilitolewa mwaka 1690 na mke wake anayetazamiwa kuwa mwanastronomia wa kwanza wa kike anayejulikana.
 
==Marejeo==