Antena : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 6:
Kwa upande wa risiva, antena hupokea mawimbi yaliyotumwa na transmita na kuyabadilisha kuwa mkondo wa umeme kwenye ncha zake na kupelekwa kwenye [[amplifaya]].
Antena ni vifaa muhimu sana kwa vifaa vyote vitumiavyo mawimbi ya redio. Hutumika katika mifumo mbalimbali kama vile [[mitambo]] ya kurushia matangazo ya redio, matangazo ya [[televisheni]], risiva za [[mawasiliano]], [[rada]], [[simu
<ref> Marconi, "Wireless Telegraphic Communication: Nobel Lecture, 11 December 1909." Nobel Lectures. Physics 1901–1921. Amsterdam: Elsevier Publishing Company, 1967: 196–222. p. 206.</ref>
|