Namba za Flamsteed : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Namba za Flamsteed''' (ing. ''en:Flamsteed designation'') ni utaratibu wa kutaja nyota uliobuniwa na Mwingereza John Flamsteed aliyekuwa mkurugenzi...'
 
No edit summary
Mstari 3:
Katika orodha yake nyota zinatajwa kwa namba na kundinyota. Kwa njia hii aliweza kutaja kwa namna ya pekee karibu kila nyota inaoonekana kwa macho matupu.
 
Mfumo wa Flamsteed unafanana na [[Johann Bayer|majina ya Bayer]] aliyetumia jina la kundinyota pamoja na [[herufi za Kigiriki]] kwa mfano [[Alfa Centauri]] akipata matatizo katika kundinyota kubwa ambako idadi ya nyota inazidi idadi ya herufi ya Kigiriki. Hapo mfumo wa Flamsteed haikuwa na mipaka kutaja hata nyota nyingi.
 
Flamsteed alitumia [[uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' wa jina la [[Kilatini]] ya kundinyota akiongeza namba (Mfano: Centaurus - ukusika milikishi "Centauri").
 
Siku hizi namba za Flamsteed zinatumiwa pamoja na majina ya Bayer hasa pale ambako zinahusu nyota ambazo Bayer hakutolea majina, kwa mfano kwa sababu Bayer aliorodhesha 1,564 nyota pekee zinazoonekana kwa macho matupu ilhali Flamsteed alitumia darubini na hivyo aliorodhesha nyota 2,554. Mara nyingi namba za Flamstee zimekuwa kawaida pia pale ambako Bayer alilazimishwa kuongeza herufi za Kilatini au namba kwa zile za Kigiriki kutokana na idadi ya nyota katika kundinyota fulani. Kwa mfano namba ya Flamsteed "55 Cancri" hupendelewa na jina la Bayer "Rho-1 Cancri".