Farao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Pharaoh.svg|thumb|Farao]]
 
'''Farao''' (kwa [[Kimisri]] ''jumba'') lilikuwa jina la heshima ambalo kila [[mfalme]] wa [[Misri ya kale]] alipewa. Katika lugha ya [[Kiswahili]] linatumika pia jina Firauni. Jina hili lilitumika hadi [[Warumi]] walipoiteka Misri mwaka 30 KK. WafalmeKabla ya hapo, wafalme wa kale wa Misri walikuwa na majina matatu: Horus, Nesu Bety na Nebty.
 
== Viungo vya Nje ==