Ifakara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ifakara kwa macho ya ndege.jpg|thumb|250px|Ifakara kwa macho ya ndege]]
'''Ifakara''' ni [[makao makuu]] na ni kata ya [[Wilaya ya Kilombero]] katika [[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]] na [[kitovu]] cha eneo lenye [[Shamba|mashamba]] makubwa ya [[miwa]] na yenye [[Postikodi Tanzania|Postikodi namba]] 67501 katka [[Misimbo ya posta|Misimbo mipya ya posta]]. Kuna kituo muhimu cha [[TAZARA]].
Mji uko katika [[bonde]] la [[mto Kilombero]] takriban [[kilomita]] 420 kusini-magharibi mwa [[Dar es Salaam]].