Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
  • wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, MediaWiki Content Translation, etc.)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Mambo yako!Edit

Salaam teeele!
Pole na shida zangu,.
Nimeona nikusalimu bwana Injinia!
--Muddyb Mwanaharakati Longa 19:32, 19 Mei 2018 (UTC)

Ahahah asante kwa shida zakoEdit

Salam..mimi mzima kabisa hofu kwako oba21.on (majadiliano) 14:18, 20 Mei 2018 (UTC)

Salam..Edit

Salam zako zimenifikia nikia nimejaa teleee Kwako vipi khariii oba21.on (majadiliano) 14:20, 5 Oktoba 2018 (UTC)

MAMBO YANGUEdit

salam zimenifikia, zimetufikia, tumesalimika. shida zetu ndio zinakupa shida pole sana. nikutakie ujenzi mwema wa jamii yako. asante!


Watu wazimaEdit

HAbari, naona makala hii. TAfadhali ukumbuke makala za wikipedia si vyanzo au marejeo yanayokubalika. Hakuna tatizo ukichukua habari zako pale enwiki pamoja na marejeo yanayotajwa pale. Lakini hatuwezi kutaja makala ya wikipedia kama chanzo. Kipala (majadiliano) 06:52, 7 Desemba 2019 (UTC)

TangazoEdit

Habari ndugu Mwanawikipedia!

Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA

Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo

Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuainisha vitu vya msingi vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa  uchangiaji (uhariri) wa Wikipedia na pale wanawikipedia wanapowasiliana kwenye Wikipedia au ana kwa ana katika warsha na mikutano ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kukithiri kwa baadhi ya Wanawikimedia kukumbana kufanyiwa unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na  Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Hivyo, wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huo Hapana baada ya kuusoma mwongozo huo unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 15 April 2020.

Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Dar es Salaam ili tuweze kujadiliana na kubadilishana uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla na miradi waliyoitekeleza tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.

Ndimi AMtavangu (WMF) (majadiliano) 22:47, 5 Aprili 2020 (UTC)

Mwaliko wa kutoa maoni yako kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na NidhamuEdit

Habari ndugu Mwanawikipedia!

Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa na kuunga mkono wazo hilo. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA

Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo

Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuoanisha vitu vya msingi vya kimwongozo vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano katika Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kujaribu kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) au utumiaji wa Wikipedia, na pia pale wanawikipedia wanapowasiliana ndani ya tovuti ya Wikipedia yenyewe au wanapokutana ana kwa ana katika warsha na mikutano mbalimbali ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kutokea kwa baadhi ya matukio kwa baadhi ya Wanawikimedia anbapo katika tafiti iliyofanywa mwaka 2015 , ilionekana baadhi ya Wanawikimedia walikuwa wakikumbana na unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huona unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 29th April 2020.

Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Tanzania (Dar es Salaam) ili tuweze kujadiliana na kubadilishana mawazo, uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia na miradi mingine yake ya Wikimedia Foundation. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kuhusu miradi waliyoifanya tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.

Ndimi Mtavangu19:09, 18 Aprili 2020 (UTC)

Uteuzi kuwa mkabidhiEdit

Salaam! Ulipendekezwa na kukubaliwa kupata haki za mkabidhi. Je, uko tayari kupokea uteuzi huu na kushiriki katika kazi mara kwa mara kama jinsi ilivyoelezwa katika ukurasa wa wakabidhi? Tunaomba jibu lako kwa baruapepe katika wiki hii. Tumia zana za Wikipedia kutuma barua pepe. --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 07:45,

13 Septemba 2020 (UTC)

Ujumbe wako umenipata vema kabisa nita jibu mara tuu nikiwa naweza kufikia kompyuta yangu Olimasy (majadiliano) 08:15, 13 Septemba 2020 (UTC)

Kukaribisha watumiaji wapyaEdit

Ndugu, hongera kwa kuanza kazi, ila kigezo cha kumkaribisha mtu kinatakiwa katika ukurasa wake wa mawasiliano, si ule wa mtumiaji. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:40, 3 Oktoba 2020 (UTC)

Asante Ndugu, nitazingatia. Olimasy (majadiliano) 12:35, 3 Oktoba 2020 (UTC)

Salzburg Austria ViennaEdit

Hey Bro,

thank you for helping to work at the article of Salzburg. If you want we could work together at some more articles about Austria in the Kiswahili languaged Wikipedia. I am learning Kiswahili right now Bro but I am still in the starter level, unfortunately, because I do not have a lot of possobilities to learn Kiswahili in Austria, but I know Austria very well and we could work together, I have knowledge about the country, you have language knowdledge Kiswahili.

Have you been to Austria yet? Or was it a just random that you have found the article Salzburg?

Alex 84.174.183.93 16:29, 28 Novemba 2020 (UTC)

Hello Alex, i would like to work together since its now my responsibility to make sure what comes into swahili wikipedia it is in a means that it suit swahili comunity and others as well, I have never been in Austria but till now i do have bunch of friends from there who are striving in swahili language like you. I would like to say that now you have an oppotunity to learn Swahili language as you wishe. Karibu sana. Olimasy (majadiliano) 07:08, 29 Novemba 2020 (UTC)

  • Hey, sorry for a slow resonse. I d like to crate or work on some more Kiswahili Wikipedia articles about european countries, states, cities, transport and so on. I would do this about topics that I know, translate by Google, than you could check for grammar typos because google translations don t work out well many times and so we could do it together? Can you send me an e mail directly please to alexvie111987@gmail.com ? Than you can reach me sooner and easier and we could discuss about Kiswahili Wikipedia Articels?
  • And by the way if you know some Kiswahili native speakers in Vienna, Frankfurt or Hamburg would you help me to find somebody for language exchange Kiswahili - German, German - Kiswahili? I have started learning Kiswahili at the adult education center, but because of Covid19, any lessons have been cancelled and I am so unhappy because I wanna learn Kiswahili but I cant :( Alex 84.174.183.93 01:47, 8 Desemba 2020 (UTC)

.Again hello Alex, thank you for leaving a contact for me i wall contact you soon. thank you Olimasy (majadiliano) 05:26, 8 Desemba 2020 (UTC)

Tuzo la uhaririEdit

Ninakukabidhi Tuzo ya Uhariri ya Wikipedia kwa juhudi zako za kutupatia orodha ya Wabunge wa Tanzania wa 2020!

Kipala (majadiliano) 17:58, 7 Desemba 2020 (UTC)

. Asante sana Ngugu Kipala, na mimi naipokea kwa heshima kubwa na tahadhima, na naahidi kuendeleza juhudi. Olimasy (majadiliano) 05:29, 8 Desemba 2020 (UTC)

Matangazo ya KivietnamEdit

Ulimwandikia Majadiliano ya mtumiaji:Tylekeoso salamu nzuri. Alijaza ukurasa wake kwa matini ya Kivietnam. Hao tumeshaona mara nyingi. Unaweza kuweka yaliyomo katika google translate Kivietnam-Kiingereza utaona ni matangazo ya kibiashara tu. Riccardo na mimi tumezoea kufuta kurasa hizi moja kwa moja na kuzuia akaunti za wachangiaji. Hao si watu waliokosa kupeleka habari kwetu; nadhani ni programu zinazotafuta nafasi kwenye intaneti kusambaza matangazo ya kibiashara. Sijafuatalia sijui kama programu zimewekwa hasa kutushambulia sisi lakini nahisi wanajaribu kote duniani. Kwa hiyo usisite kufuta na kubana. Kipala (majadiliano) 11:30, 8 Desemba 2020 (UTC)

.Asante kwataarifa, binafsi nilifikiri ni mtumiaji tuu mwenzetu maana nimeona amekaribishwa vizuri kabisa. .Sambamba na hilo kuna huyu mtumiaji anaitwa Alex kutoka Autria nimeona makala zake chache anatumia google translator moja kwa moja nakupakia matini kwenye swwiki nilivo mfuatilia anasema anajifunza kiswahili, sasa nafikiri kumtafutia mbadala wa kukutana na wewe inawezekana? Olimasy (majadiliano) 11:52, 8 Desemba 2020 (UTC)

Alex gani? Kipala (majadiliano) 12:50, 8 Desemba 2020 (UTC)

ːːHana username ila anahalili sana miji ya Austria na ujerumani alihalili makala hii hapa. Olimasy (majadiliano) 12:57, 8 Desemba 2020 (UTC)

Salamu za KaribuEdit

Habari naona umeweka salamu ya karibu kwenye ukurasa wa Wapangwa Watu Weupe (Vipindi vya Runinga)‎ ambayo si ukurasa wa mtumiaji. Nadhani ulikuwa umechoka, Tuelewane sanduku hilo linaingia pekee kurasa za majidiliano ya watumiaji, si makala. Kipala (majadiliano) 06:49, 14 Desemba 2020 (UTC)

Asante, Olimasy (majadiliano) 08:58, 14 Desemba 2020 (UTC)

Reminder to sign the confidentiality agreementEdit

Hi, as outlined in the guidelines for the Steward Election, all candidates must sign the confidentiality agreement for nonpublic information before 5 February, or you will be disqualified. For instructions, see m:Confidentiality agreement for nonpublic information/How to sign. Best, Tks4Fish (majadiliano) 18:37, 1 Februari 2021 (UTC)

How we will see unregistered usersEdit

Hi!

You get this message because you are an admin on a Wikimedia wiki.

When someone edits a Wikimedia wiki without being logged in today, we show their IP address. As you may already know, we will not be able to do this in the future. This is a decision by the Wikimedia Foundation Legal department, because norms and regulations for privacy online have changed.

Instead of the IP we will show a masked identity. You as an admin will still be able to access the IP. There will also be a new user right for those who need to see the full IPs of unregistered users to fight vandalism, harassment and spam without being admins. Patrollers will also see part of the IP even without this user right. We are also working on better tools to help.

If you have not seen it before, you can read more on Meta. If you want to make sure you don’t miss technical changes on the Wikimedia wikis, you can subscribe to the weekly technical newsletter.

We have two suggested ways this identity could work. We would appreciate your feedback on which way you think would work best for you and your wiki, now and in the future. You can let us know on the talk page. You can write in your language. The suggestions were posted in October and we will decide after 17 January.

Thank you. /Johan (WMF)

18:19, 4 Januari 2022 (UTC)

Laverne coxEdit

Naomba uifute. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:27, 11 Februari 2022 (UTC)

Nimefuta --Olimasy (majadiliano)

Have you voted in the UCoC enforcement guidelines ratification?Edit

Hi! @Olimasy:

The ratification voting process for the revised enforcement guidelines of the Universal Code of Conduct (UCoC) is now open! Voting commenced on SecurePoll on 7 March 2022 and will conclude on 21 March 2022. Please read more on the voter information and eligibility details.

Please vote and encourage other editors of Swahili Wikipedia to also vote.

Regards, Zuz (WMF) (majadiliano) 12:04, 11 Machi 2022 (UTC)