Nyungunyungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
 
Mstari 36:
*[[Tumakidae]]
}}
'''Nyungunyungu''' ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wenye [[umbo]] la [[neli]] wa [[oda]] [[Megadrilacea]] katika [[faila]] [[Annelida]].
'''Nyungunyungu''' ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wenye [[umbo]] la neli wa [[oda]] [[Megadrilacea]] katika [[faila]] [[Annelida]]. Kwa kawaida huishi katika udongo akijilisha katika viumbe mfu na hai. [[Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]] wa nyungunyungu unanyumbua kupitia urefu wa mwili wake. Na wanaendesha upumuaji kupitia ngozi yake. Mfumo wa kupeleka viowevu ni maradufu na una uvungu wa mwili ([[silomi]]) ambao ndani yake giligili ya silomi inazunguka na [[mfumo wa mzunguko wa damu|mfumo duni wa mzunguko wa damu]] wenye mtiririko kamili. Nyungunyungu wana [[mfumo wa neva]] wa kati ambao una [[ganglia]] mbili juu ya [[mdomo]]. Nyungunyungu ni [[huntha|mahuntha]] na hubeba [[ogani]] zote za kiume na za kike. Hawana mifupa, lakini hudumisha muundo wa mwili kwa njia ya vyumba vya silomi vylivyojaa na giligili na ambavyo hufanya kazi ya [[kiunzi]] cha [[mtuamomaji]].
 
Kwa kawaida huishi katika [[udongo]] akijilisha kwa [[viumbehai]] na waliokufa.
==Familia zinatokea Afrika==
 
[[Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]] wa nyungunyungu unanyumbua kupitia [[urefu]] wa [[mwili]] wake, na anaendesha [[upumuaji]] kupitia [[ngozi]] yake.
 
Mfumo wa kupeleka [[Kiowevu|viowevu]] ni maradufu na una uvungu wa mwili ([[silomi]]) ambao ndani yake [[giligili]] ya silomi inazunguka na [[mfumo wa mzunguko wa damu|mfumo duni wa mzunguko wa damu]] wenye mtiririko kamili.
 
Nyungunyungu wana [[mfumo wa neva]] wa kati ambao una [[ganglia]] [[mbili]] juu ya [[mdomo]].
 
Nyungunyungu ni [[huntha|mahuntha]] na hubeba [[ogani]] zote za kiume na za kike. Hawana [[mifupa]], lakini hudumisha muundo wa mwili kwa njia ya vyumba vya silomi vilivyojaa na giligili na ambavyo hufanya kazi ya [[kiunzi]] cha [[mtuamomaji]].
 
==[[Familia (biolojia)|Familia]] zinazotokea [[Afrika]]==
* Acanthodrilidae
* Almidae