Dubu Mdogo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 4:
 
==Mahali pake==
Dubu Mdogo iko karibu na ncha ya anga ya kazkazini; kundinyota jirani ni [[Dubu Mkubwa (kundinyoya)|Dubu Mkubwa]] ''([[:en:Great Bear| Great Bear]])'', [[Kiausi (kundinyota)|Kifausi]] (''[[:en: Cepheus|Cepheus]]'') na [[Twiga (kundinyota)| Twiga]] (''[[:en: Camelopardalis| Camelopardalis]]''). Kutokana na mahali pake karibu na [[ncha ya anga]] ya kaskazini ni nyota zake za kusini kabisa tu zinazopita ikweta kwa mtazamaji .aliye Tanzania.
 
==Jina==
Dubu Mdogo ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Ursa Minor. <ref>Kwa Kiingereza cha Marekani jina la “Little Dipper” imekuwa kawaida; ‘dipper’ inamaanisha kijiko kikubwa kama upawa wa kuchotea supu </ref>