Utata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
''' utataUtata''' Nini hali ya [[neno]] au [[sentensi]] kuwa na maana zaidi ya [[moja,utata]]. utowekaUtata hutokea pale [[mtu]] wa upande wa kikomo anaposhindwa kupata maana iliyo kusudiawailiyokusudiwa na chanzo,utata. ujitokeza katika mazingira tofautitofauti.
{{muundo}}
 
Utata hujitokeza katika [[mazingira]] tofautitofauti.
''' utata''' Ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja,utata utoweka pale mtu wa upande wa kikomo anaposhindwa kupata maana iliyo kusudiawa na chanzo,utata ujitokeza katika mazingira tofautitofauti.
Aina za utata ya kwanza ni utata wa neno au maneno .Ni baadhi ya maneno katika lugha ya kiswahili yana maana zaidi ya moja mfano barabara njia pana au ni sawasawa.
Aina ya kwanza ni utata wa neno au maneno. Baadhi ya maneno katika [[lugha]] ya [[Kiswahili]] na nyinginezo yana maana zaidi ya moja; kwa mfano [[barabara]] inaweza kumaanisha "[[njia]] pana" au "sawasawa".

Aina ya pili ni utata wa sentensi; sentensi tata ni ile yenye maana zaidi ya mjamoja na mara nyingi maana zenyewe haziko wazi kabisa . Sentensi moja inawezekana kueleweka hivi au vile na bado maana zote zikawa sahihi. Sababu zani: kutumia [[misimu]], uwezo wa neno moja kuwa na maana zaidi, kutozingatia taratibu za [[uandishi]], kutumia maneno bila kuzingatia mazingira au muktadha unaohusika, kuwepo kwa [[mofimu]] ya hali ya kutenda.
 
Jinsi ya kuondoa utata,: katika lugha kuwe na mkazo tofauti ili kutofautisha maana, kuzingatia matumizi sahihi ya [[alama]] za uandishi, kutumia maneno kwa kutumia muktadha maalumu.
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Isimu]]