Ushairi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Tag: 2017 source edit
Mstari 19:
 
== Maana na tafsiri ya ushairi kulingana na washairi wakubwa ==
Katika kujenga hoja mbalimbali za ushairi ni nini. Wakongwe na magwiji wa ushairi wa awali walieleza maana mbalimbali za ushairi kulingana na utunzi. Wakongwe hao waliamini kuwa mtunzi ana uhuru wa kutunga aina za mashairi wazipendazo bora tu wapashe ujumbe kwa hadhira. Washairi hao walitunga mashairi bila kujali arudhi za ushairi.<ref>[http://ushairi.mwanagenzi.com/maana-ya-ushairi/mgogoro-wa-ushairi Mgogoro wa Ushairi] katika [[blogu]] ya Ushairi wa Mwanagenzi</ref>
{{Quote|Ushairi ni sanaa ya vina inayopambanuliwa kama nyimbo, mashairi na tenzi. Zaidi ya kuwa sanaa ya vina, una ufasaha wa maneno machache au muhtasari. Mwauliza wimbo, shairi na tenzi ni nini? Wimbo ni shairi ndogo, ushairi ni wimbo mkubwa na utenzi ni upeo wa ushairi. Mwauliza tena kina na ufasaha huweza kuwa nini? Kina ni mlingano wa sauti za herufi. Kwa maneno mengine huitwa mizani ya sauti na ufasaha ni uzuri wa lugha. Mawazo na maoni na fikra za ndani zinapoelezwa kwa muhtasari wa shairi huvuta moyo kwa namna ya ajabu.<ref>[http://ushairi.mwanagenzi.com/maana-ya-ushairi/mgogoro-wa-ushairi Mgogoro wa Ushairi] katika [[blogu]] ya Ushairi wa Mwanagenzi</ref>|[[Shaban Robert]]
}}
{{quote|“Ushairi ni msingi wa maneno ya hekima tangu kale. Ndicho kitu kilicho bora sana katika maongozi ya dunia kwa kutumia maneno ya mkato na lugha nzito yenye kunata iliyopangwa kwa urari wa mizani na vina maalumu kwa shairi.|[[Mathias Mnyapala]]}}