Uhai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
| caption2 = Picha toka [[anga]]ni ya [[mikrobi]] kwenye [[Grand Prismatic Spring]] huko [[Yellowstone National Park]]
}}
'''Uhai''' kwa maana ya [[biolojia]] ni jumla ya [[tabia]] zinazotofautisha [[kiumbehai]] na [[maada|mata]] kwa jumla. Hata hivyo kila uhai ulioweza kuchunguzwa na [[sayansi]] unapatikana pamoja na maadamata.
 
Kati ya tabia hizo kuna uwezo wa kushawishiwa na [[mazingira]], kujipanga, kukua, [[metaboli]] na kuzaa. Kila tabia peke yake haifanyi uhai, kwa sababu mojamoja zinaweza kutokea pia kwa [[mata]] isiyo hai: [[fuwele]] zinakua, [[ulimi wa moto]] una umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha [[molekuli]] za [[nta]] pamoja na [[oksijeni]] ya [[hewa]]ni [[Dioksidi kabonia|dioksidi kabonia]] na [[maji]]. Kwa hiyo ni jumla ya tabia zinazothibitisha uwepo wa uhai, lakini hadi leo [[wataalamu]] hawajapatana bado ni ma[[sharti]] gani yanayohitajika, kwa sababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote kwa pamoja.