Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
#[[Melodrama]] - huu mara nyingi unaisia na [[furaha]]. Ndani yake kunakuwa na ma[[adui]] - watu wabaya - lakini mbabe hushinda. [[Msisimko]] wake unakuwa mkali sana.
#[[Simboliki]] - huu unahusu [[fikra]] za uigizaji au mchezo. Watu wachezao katika mchezo si muhimu. Simboliki pia waweza kuitwa kwa jina la kitaalamu kama "expressionistic". Ni kuhusiana zaidi na waongozaji na watunzi wakiwa wanatoa fikra zao katika mchanganuo tofauti.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://sounds.bl.uk/Arts-literature-and-performance/Theatre-Archive-Project Theatre Archive Project]
* [http://www.bris.ac.uk/theatrecollection/ Tamthilia toka Chuo Kikuu cha Britol]
* [https://www.youtube.com/watch?v=i0ZnDGPBgAA Video ya historia ya tamthilia ya Afrika Kusini]
 
 
 
 
 
{{mbegu-fasihi}}