Tofauti kati ya marekesbisho "Simu"

650 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Matumizi ya simu ni kwa ajili ya watu wawili walio katika sehemu mbili tofauti kuongea.
 
Awali simu ilihitaji iunganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[picha:smartphone.jpg|thumb|260px|simu bilaya wayakisasa]].
 
Watu wengi wanaamini kuwa simu iligunduliwa mnamo [[1876]] na [[Alexander Graham Bell]],<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/11375/ |title = Alexander Graham Bell Laboratory Notebook, 1875-1876 |website = [[World Digital Library]] |date = 1875-1876 |accessdate = 2013-07-23 }}</ref> [[Uskoti|Mskoti]] mwenye [[umri]] wa miaka 29 aliyeishi nchini [[Marekani]]. Lakini [[Mwitalia]] [[Antonio Meucci]] alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa [[1871]] hukohuko Marekani. hukohu
 
Tangu mwisho wa [[karne ya 20]] kuna aina mpya ya simu iliyoenea ambayo ni [[simu ya mkononi]]. Ingawa haistahili kweli kuitwa tena "simu" kwa maana asilia kwa sababu hakuna simu ni aina ya [[mtambo]] wa [[mawasiliano]] uliosambaa haraka sana.
 
Katika nchi nyingi za [[Afrika]] simu hizi zina faida ya pekee kwasasababu zinaruhusu mawasiliano hata pale ambako nyaya za [[Posta]] hazifiki.
 
{{mbegu-sayansi}}
 
==Marejeo==
{{Marejeo}}
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.kodi-ya-simu.info/nambari-ya-simu.php Kikokotozi cha nambari ya simu kwa simu za kimataifa]
 
[[Jamii:Mawasiliano]]
[[Jamii:Simu]]
[[Jamii:Teknolojia]]
127

edits