Tajikistan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 69:
 
Mwaka [[1868]] Tajikistan ilivamiwa na [[Urusi]] na kuwa sehemu ya [[Dola la Urusi]], halafu sehemu ya [[Umoja wa Kisovyet]] baada ya [[mapinduzi]] ya [[1917]]. Iliitwa Jamhuri ya Kisovyet ya Kisoshalisti ya Tajikistan.
[[Picha:Duschanbe Bahnhof.jpg|thumb|left|Dushanbeː kituo cha [[reli]].]].
Baada ya kuporomoka kwa Umoja wa Kisoviet, Tajikistan ilipata [[uhuru]] wake mwaka [[1991]].