Nikaragua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
|government_type = Jamhuri
|leader_titles = [[Rais wa Nikaragua|Rais]]
|leader_names = [[Daniel Ortega ]]
|area_rank = ya 97
|area_magnitude =1 E10
Mstari 54:
 
[[Picha:Nicaragua rel 97.jpg|thumb|left|300px|Ramani ya Nikaragua]]
 
'''Nikaragua''' ni nchi ya [[Amerika ya Kati]] yenye wakazi 6,071,045 ([[2012]]). Imepakana na [[Honduras]] na [[Kosta Rika]]; upande wa [[magharibi]] ni [[pwani]] ya [[Pasifiki]] na upande wa [[mashariki]] kuna pwani ya [[Bahari ya Karibi]].
 
Jina la nchi linasemekana kuwa mchanganyiko wa jina la wakazi asilia walioitwa "Nikarao" na neno la Kihispania la "agua" (=maji) kutokana na ma[[ziwa]] makubwa mawili nchini yanayoitwa [[Lago Managua]] na [[Lago Nicaragua]]. Maelezo mengine yanamtaja [[chifu]] wa wazalendo wakati wa kufika kwa [[Wahispania]] aliyeitwa "Nikarao".
 
== Wakazi ==
Wakazi walio wengi sana hukalia maeneo ya [[mji mkuu]] [[Managua]] na pwani ya Pasifiki.
 
Sehemu kubwa (69 %) ni ma[[chotara]] kati ya wakazi asilia na Wazungu. 7% ni Wazungu. 9% wana asili ya [[Afrika]], wakikaa hasa kwenye pwani Ya Bahari ya Karibi. [[Waindio]] ni asilimia 5.
 
[[Lugha rasmi]] na kubwa zaidi ni [[Kihispania]], lakini si [[lugha]] pekee.
 
Upande wa [[dini]], walio wengi ni [[Wakatoliki]] (61.5% kadiri ya [[sensa]] ya mwaka [[2005]]) na [[Waprotestanti]] (30.6%). 15.1% hawana dini yoyote.
 
== Jiografia ==
Line 84 ⟶ 74:
Tangu mwaka [[1854]] imekuwa nchi ya kujitegemea kabisa.
 
== Viungo vya NjeWakazi ==
Wakazi walio wengi sana hukalia maeneo ya [[mji mkuu]] [[Managua]] na pwani ya Pasifiki.
 
Sehemu kubwa (69 %) ni ma[[chotara]] kati ya wakazi asilia na Wazungu. 7% ni Wazungu. 9% wana asili ya [[Afrika]], wakikaa hasa kwenye pwani Ya Bahari ya Karibi. [[Waindio]] ni asilimia 5.
 
[[Lugha rasmi]] na kubwa zaidi ni [[Kihispania]], lakini si [[lugha]] pekee.
 
Upande wa [[dini]], walio wengi ni [[Wakatoliki]] (61.5% kadiri ya [[sensa]] ya mwaka [[2005]]) na [[Waprotestanti]] (30.6%). 15.1% hawana dini yoyote.
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
 
== Viungo vya nje ==
{{commons}}
*[http://www.pronicargua.org.ni Pronicaragua.org]