Chad : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 61:
Wakazi walikuwa 10,329,208 mwaka 2009.
 
Jinsi ilivyo katika nchi mbalimbali za [[kanda la [[Sahel]] kuna aina mbili za wakazi ndani yake:
 
* Kaskazini wako hasa watu walioathiriwa sana na [[utamaduni]] wa [[Uislamu]] (55% za wakazi wote). Mifano ni [[Waarabu]] (12.3%), [[Wafulbe]], [[Wahaussa]], [[Wazaghawa]] na wengineo. Wengi wao walikuwa [[wafugaji]] na sehemu ya ma[[kabila]] inaendelea hadi leo [[maisha ya kuhamahama]].
Mstari 69:
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiarabu]] na [[Kifaransa]].
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa]]
* [[Demografia ya Afrika]]
 
==Tanbihi==