Tunisia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 59:
 
==Watu==
Wakazi karibu wote (98%) wanajiita [[Waarabu]] na hutumia [[lugha]] ya [[Kiarabu]] ambacho ndicho [[lugha rasmi]]. Hata hivyo [[damu]] yao ni mchanganyiko hasa wa ile ya Waberber, Waarabu na WatutukiWaturuki.
 
Takriban watu 200,000, hasa kusini, wanaendelea kuzungumza [[Kiberber]] ambacho ni lugha asili ya wenyeji lakini [[Waberber]] wengi wamezoea kutumia Kiarabu.
Mstari 66:
 
Upande wa [[dini]], [[Uislamu]] unafuatwa na [[asilimia]] 98 za wakazi, nao ndio [[dini rasmi]].
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa]]
* [[Demografia ya Afrika]]
 
==Viungo vya nje==
{{Commons}}