Pembetatu ya Kusini (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
==Mahali pake==
Pembetatu ya Kusini inaonekana vema katika kanda la [[Njia Nyeupe]], karibu na nyota mashuhuri za [[Alfa Centauri]] (Rijili Kantori) na Beta Centauri kwenye [[Salibu (kundinyota)|kundinyota ya Salibu]]. Iko jirani na kundinyota za [[KipimapembePembemraba (kundinyota)| Kipimapembe]] (Norma) upande wa kaskazini, [[Bikari (kundinyota)|Bikari]] (Circinus) upande wa magharibi, [[Ndege wa Peponi (kundinyota)| Ndege wa Peponi]] (Apus) upande wa kusini na [[Madhabahu (kundinyota)|Madhabahu]] (Ara) upande wa mashariki.
 
==Jina==