Udikteta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Udikteta" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
Mstari 19:
Kila nchi inahitaji sheria na pia udikteta hauwezi kuongoza bila sheria. Lakini tabia muhimu ya udikteta ni ya kwamba dikteta ana nafasi au uwezo wa kupuuza sheria au kufanya maazimio nje ya sheria na hakuna njia ya kumlazimisha kutii sheria.
 
Mara nyingi uhuru na haki za wananchi zimepungukiwa sana au kuondolewa kabisa kwenye mfumo wa udikteta. Tabia muhimu ya demokrasia ni [[mgawanyo wa madaraka]] na humo uhuru wa [[mahakama]]. Katika udikteta serikali inateua mahakimu na kuingilia kati katika maazimio ya kesi. Kama kesi inaangaliwa na serikali ni kawaida ya kwamba hukumu huamuliwa nje ya mahakama.
 
Polisi inapewa nafasi ya kuwatesa watu na hii ni aina ya adhabu bila sheria wala mahakama. Mara nyingi polisi zinapewa pia nafasi ya kuua watu hovyo au kuwafunga ndani bila kesi kusikilizwa mahakamani.