Reptilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
Mwainisho mpya
Mstari 11:
| subdivision_ranks = Subclasses and Orders
| subdivision = Kuna oda nne za reptilia hai
* Crocodylia
* Crocodilia
* Rhynchocephalia
* Squamata
* Testudines
}}
'''Reptilia''' (kutoka [[Kilatini]] ''"reptilis" mwenye kutambaa''; pia: '''mtambaazi''', '''mtambaachi''', '''mnyama mtambaaji'''<ref>[[KAST]]:reptile=reptilia;[[KKK/ESD]]: reptile-mtambaazi; [[KKK/SED]]: mtambaachi-reptile,snake; [[KKS]]: mtambaachi-nyoka</ref>) ni kundi la wanyama wenye [[damu baridi]], [[ngozi]] ya [[magamba]] badala ya [[nywele]] au [[manyoya]] wakipumua kwa [[mapafu]]. Siku hizi wataalamu hupendelea jina [[Sauropsida]]
 
Wanazaa kwa njia ya mayai; wengine wanatega mayai na wadogo wanatoka nje bila ngazi ya [[kiluwiluwi]] au kwa spishi kadhaa mayai yanaiva ndani ya tumbo la mama na wadogo wanazaliwa hai.
Mstari 22:
Kibiolojia ni ngeli ya [[vertebrata]]. Jina limetokana na maumbile yao maana wanatambaa na tumbo juu ya ardhi; ama kwa miguu mifupi kama [[mijusi]] au bila miguu kama [[nyoka]].
 
== UainishajiMwainisho ==
* Ngeli '''Reptilia''' (au Kladi '''Sauropsida''')
** Kladi '''Eureptilia'''
** Oda Crocodilia ([[mamba (mnyama)|mamba]])
*** Kladi '''Romeriida'''
** Oda Rhynchocephalia ([[tuatara]] - wanafanana na mijusi lakini ukoo ni tofauti)
**** Nusungeli '''Anapsida
** Oda Squamata ([[nyoka]], [[mjusi|mijusi]] na [[mjusi-nyungunyungu|mijusi-nyungunyungu]])
***** Oda Testudines ([[kobe|makobe]])
**** Nusungeli '''Diapsida'''
** Kladi Aves ([[ndege (mnyama)|ndege]])
***** Ngeli ya chini '''Archosauromorpha'''
****** <br>
******* Oda '''Saurischia'''
******** Nusuoda '''Theropoda'''
********* Kladi '''Aves''' ([[ndege (mnyama)|ndege]])
****** Oda ya juu '''Crocodylomorpha'''
******* Oda Crocodilia'''Crocodylia''' ([[mamba (mnyama)|mamba]])
***** Ngeli ya chini '''Lepidosauromorpha'''
****** Oda ya juu '''Lepidosauria'''
******* Oda '''Rhynchocephalia''' ([[tuatara]] - wanafanana na mijusi lakini ukoo ni tofauti)
******* Oda '''Squamata''' ([[nyoka]], [[mjusi|mijusi]] na [[mjusi-nyungunyungu|mijusi-nyungunyungu]])
 
[[Dinosauri|Dinosauria]] wa kale walikuwa reptilia wakubwa sana walikwisha miaka milioni 65 iliyopita. Kufuatana na vumbuzi za hivi karibuni ndege hufikiriwa kuwa na nasaba na dinosauri (kutoka kwa nusuoda ya [[Theropoda]]).