Reptilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mwainisho mpya
Sahihisho
Mstari 16:
* Testudines
}}
'''Reptilia''' (kutoka [[Kilatini]] ''"reptilis" mwenye kutambaa''; pia: '''mtambaazi''', '''mtambaachi''', '''mnyama mtambaaji'''<ref>[[KAST]]:reptile=reptilia;[[KKK/ESD]]: reptile-mtambaazi; [[KKK/SED]]: mtambaachi-reptile,snake; [[KKS]]: mtambaachi-nyoka</ref>) ni kundi la wanyama wenye [[damu baridi]], [[ngozi]] ya [[magamba]] badala ya [[nywele]] au [[manyoya]] wakipumua kwa [[mapafu]]. Siku hizi wataalamu hupendelea jina [[Sauropsida]].
 
Wanazaa kwa njia ya mayai; wengine wanatega mayai na wadogo wanatoka nje bila ngazi ya [[kiluwiluwi]] au kwa spishi kadhaa mayai yanaiva ndani ya tumbo la mama na wadogo wanazaliwa hai.
Mstari 33:
******* Oda '''Saurischia'''
******** Nusuoda '''Theropoda'''
********* Kladi '''AvesNeornithes''' (=ngeli [[Aves]] au [[ndege (mnyama)|ndege]])
****** Oda ya juu '''Crocodylomorpha'''
******* Oda '''Crocodylia''' ([[mamba (mnyama)|mamba]])