Marumaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Landscape marble skyline.jpg|225px|right|thumb|Uchoraji asilia waonekana kwenye uso wa marumaru iliyokatwa na kusuguliwa.]]
[[Picha:Venus_de_Milo_Louvre_Ma399-02b.jpg|thumb|120px|right|Sanamu ya marumaru yamwonesha [[Venus]], [[Miungu|mungu]] jike wa Kiroma[[Roma Venusya Kale|Kiroma]].]]
'''Marumaru''' (pia: '''marmar''' - kutoka [[kar.Kiarabu]] مرمر) ni [[mwamba]] wa [[gange]] uliobadilika kutokana na [[joto]] na shindikizo ndani ya [[ganda la dunia]] katika kipindi cha miaka mamilioni[[milioni]] kadhaa. [[Kemia|Kikemia]] ni hasa CaCO<sub>3</sub>.
 
Ni [[jiwe]] gumu sana inayopatikanalinalopatikana katika [[rangi]] mbalimbali.
 
Hupendwa sana kama jiwe la [[ujenzi]], hasa kama ni [[nyeupe]]. Kama ni haba katika eneo fulani hutumiwa kama [[Pambo|mapambo]] tu, kama vile kwa kufunika [[Ukuta|kuta kwa marumaru]]. Jiwe lenye rangi mbalimbali hutumiwa kwa sakafu katika majengo muhimu au kama mapambo ya kuta za ndani.
 
Jiwe lenye rangi mbalimbali hutumiwa kwa [[sakafu]] katika [[Jengo|majengo]] muhimu au kama mapambo ya kuta za ndani.
Tangu kale marumaru ilitumiwa pia kwa sanamu.
 
Tangu kale marumaru ilitumiwa pia kwa kuchonga [[sanamu]].
== Tovuti za Nje ==
 
== Tovuti za Njenje ==
{{Commons|Marble}}
* [http://www.exoticaindica.com Inlaid marble]
Line 19 ⟶ 21:
 
[[Jamii:Jiolojia]]
[[Jamii:Sanaa]]