Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 22:
* Wareno walivamia pembetatu ya Kionga (nchi ng'ambo ya mto Rufiji) na nyanda za juu za Umakonde. Lakini walishindwa hapa wakapaswa kurudi Msumbiji
 
Hadi Agosti 1916 [[mataifa ya ushirikiano]] yalishika miji muhimu ya Tanganyika isipokuwa Daressalaam. Moshi iltekwa mwezi wa Machi. [[Reli ya Kati]] ya Tanganyika kuanzia Tabora, Dodoma hadi Morogoro ilikuwa mkonomkononi mwao. Walisita kuvamia Daressalaam kwa sababu waliogopa mapigano makali lakini Lettow-Vorbeck aliwahi kuondoa askari wake tayari kwa sababu hakutafuta mapigano makubwa dhidi ya maadui mwenye nguvu zaidi.
Alipeleka jeshi lake katika eneo kusini ya mstari Daressalaam-Morogoro-Iringa pasipo na njia nzuri akitegemea Waingereza wasingeweza kutumia usafiri kwa malori na reli.