Mnururisho sumakuumeme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Nuru katika spektra 1.jpg|thumb|450x450px|[[Spektra]] ya mawimimawimbi sumakuumeme; nuru ni sehemu ya wawimbi haya]]
'''Mnururisho sumakuumeme''' ([[ing.]] ''electromagnetic radiation / electromagnetic waves'') ni [[mnururisho]] wa [[mawimbi]] zinazounganisha [[uga sumaku]] na uga wa [[umeme]] na kubeba nishati. Mifano ya mawimbi sumakuumeme ni [[wimbiredio]], [[mikrowevu]], mawimbi ya [[joto]], mawimbi ya [[urujuanimno]], [[eksirei]], na [[nuru]] inayoonekana kwetu.