Everest (mlima) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
[[Wazungu]] waliokuwa wa kwanza wa kuchora [[ramani]] ya sehemu zile wakauita mwaka [[1852]] "Mlima XV“. Jina la Everest lilianza kutumiwa na [[Waingereza]] tangu mwaka [[1865]] kwa heshima ya Sir [[George Everest]] aliyekuwa mpimaji mkuu wa ramani wa [[Uingereza]] kwa sababu alikuwa ameonyesha bidii kubwa katika upimaji wa [[Uhindi wa Kiingereza]].
 
{{Vilele saba vya mabara}}
{{mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Milima]]