Matinde John
Jina la kuzaliwa Mtongori
Alizaliwa 28-Feb-1992
Nchi Tanzania
Kazi yake Mhandisi(Huawei

Tigo HQ)

Ndoa Rose charles Maryoba
Wazazi John Marwa na Bhoke Magabe

Karibu kwenye ukurasa wa Matinde John, ni mhariri wa Wikipedia ya Kiswahili na Kiingereza kutoka nchini Tanzania.Pia Matinde John alimaliza shahada ya kwanza ya Uhandisi wa Electrokia na Mawasiliano 2018 kutoka chuo kikuu cha Mtakatifu Yosefu kilichopo Mbezi Dar es salaam Tanzania .Kwa sasa yupo Huawei Tigo makao makuu Dar es salaam

Kuzaliwa

hariri
Matinde John alizaliwa tarehe (28 feb 1992 ) wilaya ya  Kibaha mkoa wa Pwani .Pia Matinde John ni mtoto wa nne kwenye familia ya John Marwa Masero (Chegere) iliyopo Kijiji cha Nyang'aranga kata ya Mugeta mkoa wa Mara, Majina mengine anaitwa Matinde John, Mtongori ndo jina maarufu hapo Kijijini kwao Nyang'aranga

Shule ya Msingi

hariri

Matinde John alisoma shule ya msingi Nyang'aranga iliyopo Wilaya ya Bunda Mara toka darasa la kwanza mpaka darasa la tano na baadae kuhamia shule ya Msingi Kiluvya wilaya ya Ubungo iliyopo mkoa wa Dar es salaam.Baada ya kumaliza darasa la saba alifaulu na kuchaguliwa shule ya sekondari ya kibamba. [1]

Shule ya Sekondari

hariri

Matinde John alianza shule ya Kibamba sekondari toka mwaka (2008-2011) kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne masomo ya Sayansi .Alifaulu kidato cha nne.[2] mwaka 2011 na kuchagulia kidato cha tano Azania[3] .Mwaka wao ndo walikuwa wa pili kumaliza kidato cha nne baada ya kuanzishwa Kibamba.Kibamba sekondari ni mojawapo ya shule za kata katika kata ya Kibamba wilaya mpya ya Ubungo mkoa wa Dar es salaam[4].Ubungo ni mojawapo ya wilaya mpya zilizoongeza Tanzania Ubungo imeongezeka baada ya wilaya ya Kinondoni kugawanyika na kupatika wilaya ya kinondoni na Ubungo

Shule ya kidato cha tano na sita

hariri

Pia Matinde John alisoma Azania[5] sekondari PCM.(Physics chemistry na Mathematics) toka mwaka 2012-2014

Chuo Kikuu

hariri

Alisoma chuo kikuu cha Mtakatifu Yosefu (St Joseph college of Engineering and Technology) kilichopo Mbezi Dar es salaam Tanzania toka mwaka (2014-2018).Mtongori ni mhandisi wa Electrokia Na Mawasiliano inayojulikana kama (Bachelor of Engineering in Electronics and Communication Engineering)

Maisha yake

hariri

Matinde John kwa sasa amemaliza shahada yake ya kwanza katika chuo kikuu cha Uhandisi kilichopo wilaya ya Ubungo mkoa wa Dar es salaam Mtongori anafanya kazi ya Uhandisi wa Mawasiliano Huawei Tanzania-Tigo Makao makuu (PSSF TOWER)

sw-3 Mtumiaji huyu anaweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.

Marejeo

hariri
  1. https://www.sitelinks.info/search/matokeo-ya-darasa-la-saba-2007/
  2. http://196.44.162.33/necta2011/CSEE%202011/s3091.htm
  3. https://www.scribd.com/doc/51144533/Orodha-Ya-Wavulana-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-tano-2011
  4. http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Dar-yapendekeza-wilaya-mbili-mpya/1597296-2291018-11ugp8bz/index.html
  5. http://www.azaniasecondary.sc.tz/