Senati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Senati''' (pia '''Seneti''' kutoka [[Kiingereza]] "Senate") ilikuwa [[baraza]] kuu katika [[Dola la Roma]]. [[Jina]] lake limetokana na neno la [[Kilatini]] ''senes'' (= [[mzee]]), kwa hiyo senati ilikuwa baraza la wazee ("Senatus").
 
Wakati wa [[Jamhuri ya Kiroma]] senati ilikuwa chombo kikuu cha [[dola]]; wakati wa [[makaisari]] tangu [[Augusto]] umuhimu wake ulipungua lakini kwa muda mrefu makaisari walijitahidi kuheshimu baraza hilo hata kama [[mamlaka]] zake zilipungua zaidi na zaidi. [[Sheria]] zilitangazwa kwa jina la senati; wakati wa fitina kati ya senati na [[mtawala]] kulikuwa pia na [[amri]] za kikaisari zilizotangazwa bila idhini ya senati lakini kwa jumla makaisari hawakutumia jina "sheria" kwa amri hizo.
 
[[Sheria]] zilitangazwa kwa jina la senati; wakati wa fitina kati ya senati na [[mtawala]] kulikuwa pia na [[amri]] za Kaisari zilizotangazwa bila idhini ya senati, lakini kwa jumla makaisari hawakutumia jina "sheria" kwa amri hizo.
Kimsingi senati ilijumlisha wote waliowahi kuwa [[afisa|maafisa]] wakuu wa dola. Katika utaratibu wa Kiroma maafisa wote walichaguliwa kwa muda wa [[mwaka]] mmoja. Wenye [[Cheo|vyeo]] hawakupata [[mshahara|mishahara]], kwa hiyo walikuwa hasa [[tajiri|matajiri]] walioweza kugombea nafasi hizo. Kwa sababu hiyo senati kama mkutano wa maafisa wa kale ilijumlisha hasa watu kutoka [[familia]] za [[ukabaila|makabaila]] au pia kutoka familia tajiri nyingine.
 
Kimsingi senati ilijumlisha wote waliowahi kuwa [[afisa|maafisa]] wakuu wa dola. Katika utaratibu wa Kiroma maafisa wote walichaguliwa kwa muda wa [[mwaka]] mmoja. Wenye [[Cheo|vyeo]] hawakupata [[mshahara|mishahara]], kwa hiyo walikuwa hasa [[tajiri|matajiri]] walioweza kugombea nafasi hizo. Kwa sababu hiyo senati kama mkutano wa maafisa wa kale ilijumlisha hasa watu kutoka [[familia]] za [[ukabaila|makabaila]] au pia kutoka familia tajiri nyingine.
Wakati wa jamhuri ya Kiroma senati ilikuwa na maseneta 100 walioongezeka baadaye kuwa 300. [[Julius Caesar|Gaius Julius Caesar]] aliongeza vyeo hivi hadi wajumbe 900.
 
Wakati wa jamhuriJamhuri ya Kiroma senati ilikuwa na maseneta 100 walioongezeka baadaye kuwa 300. [[Julius Caesar|Gaius Julius Caesar]] aliongeza vyeo hivi hadi wajumbe 900.
 
Senati ilidumu hadi mwisho wa Dola la Roma. Katika [[Dola la Roma Magharibi]] heshima yake ilikubaliwa ndani ya [[mji]] wa [[Roma]] tu na habari za mwisho wa senati zimepatikana hadi mwaka [[600]] [[BK]]. Katika [[Dola la Roma Mashariki]] ([[Bizanti]]) senati ilidumu hadi mwisho kabisa, mnamo mwaka [[1453]], lakini [[karne]] za mwisho haikuwa na athira yoyote.
Line 12 ⟶ 14:
 
== Senati kama kitengo cha bunge katika nchi mbalimbali ==
Nchi mbalimbali huwa na senati kama sehemu ya [[bunge]] ikiwa ni bunge ya vitengo viwili ([[nyumba]] [[mbili]], au vyumba viwili); hapo "senati" kwa jumla ni jina la "nyumba ya juu".
 
Katika [[Marekani]] "[[Senati (Marekani)|Senati]]" ni kitengo kimoja cha [[bunge]] ikiwa na mamlaka nyingi kuhusu [[siasa ya nje]] na kuthibitishwa kwa maafisa wakuu wa [[serikali]]. [[Rais]] anahitaji kibali cha senati kwa sehemu muhimu za [[siasa]] zake. Senati ya Marekani inaweza kusimamisha sheria zilizoamuliwa na [[Nyumba ya Wawakilishi]] (sehemu nyingine ya bunge). Senati ina wajumbe wawili kutoka kila [[jimbo]] la Marekani wanaochaguliwa kwa muda wa miaka 6.
 
Sawa na Marekani, kuna "Senati" kama kitengo cha bunge katika [[Ufaransa]], [[Kanada]], [[Italia]] (Senato della Repubblica), [[Rumania]], [[Ucheki]], [[Hispania]] (Senado), [[AustraliaPoland]], [[PolandUbelgiji]], [[UbelgijiAustralia]], [[Kenya]] na [[Brazil]].
 
Nchi nyingine zenye bunge la vitengo viwili hazitumii neno "senati", kwa mfano [[Ujerumani]]. Nchini Ujerumani "senati" ni jina la vitengo vya [[mahakama kuu]].
 
Nchini Ujerumani "senati" ni jina la vitengo vya [[mahakama kuu]].
 
Katika nchi mbalimbali "Senati" ni jina la baraza kuu kwenye [[chuo kikuu]].
 
{{mbegu-siasa}}
 
[[Jamii:Dola la Roma]]
[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Bunge]]