Paralaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 15:
==Paralaksi kwa ufafanuzi wa jiometria==
 
Hisabati ya paralaksi inatumia kanuni za [[trigonometria]] ([[jiometria]] ya [[pembetatu]]). Tunahitaji kwanza nukta mbili kwenye mstari wa msingi tunazoweza kulinganisha na vipeo A na B vya pembetatu. Kipeo C ni ni nukta ya tatu au kiolwa kinachotazamiwa. Tukijua umbali kati ya A na B pamoja na pembe kati ya mistari inayounganisha A, B na C tunaweza kukadiria umbali wa C, yaani urefu wa pande AC ya pembetatu.
Katika mfano wa kidole gumba mbele ya macho umbali wa msingi AB ni umbali kati ya macho. Kwa urefu wa wastani wa mkono kidole (=nukta ya tatu) utakuwa na pembe ya takriban nyuzi 6.