Zubani Junubi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{nyota | jina = Zubani Junubi </br>''(Alfa Librae, Zubenelgenubi)'' | picha = Mizani Peg.png | maelezo_ya_picha = | kundinyota...'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{nyota
| jina = Zubani Junubi </br>''(Alfa Librae, Zubenelgenubi)''
| picha = Mizani PegLib.png
| maelezo_ya_picha =
| kundinyota = [[Mizani (kundinyota)|Mizani]] (''[[:en:Libra (constellation)|Libra]]'')
Mstari 21:
 
==Jina==
Zubani Junubi ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. <ref>ling. Knappert 1993</ref>. Walipokea jina hili kutoka Waarabu wanaotumia neno <big> الجنوبي الزبان </big> ''al-zuban al-janubi '' kwa maana ya « koleo la kusini » yaani koleo la nge. Maana yake nyota hii pamoja nyingine za Mizani zilihesabiwa zamani kuwa sehemu ya Akarabu (Nge) na kutazamiwa kama makoleo yake. Hivyo kundinyota yote ya Mizani bado iliitwa “Χηλαι” (helai - makoleo) na Klaudio Ptolemaio katika Almagesti. Kwa nyota aliita “ile angavu kwenye ncha ya koleo la kusini”<ref>[[Kigiriki]]: τῶν ἐπ´ ἂκρας τῆς νοτίου χηλῆς ὁ λαμπρός ''toon ep akras tes notiou heles ho lampros'', Heiberg (1903) uk. 106</ref>.
 
Kwa matumizi ya kimataifa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia|Ukia]] ulikubali jina la Kiarabu na kuorodhesha nyota ya Lib α² kwa tahajia ya "Zubenelgenubi" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref>. Maana Zubani Junubi ni n yota[[nyota pacha]] na azimio la Ukia linahusu nyota kuu katika mfumo huu.
 
Alfa Librae ni [[jina la Bayer]]; [[Alfa]] ni herufi ya kwanza katika [[alfabeti ya Kigiriki]] lakini Zubani Junubi ni nyota angavu ya pili na hii ni mfano ya kwamba [[Johann Bayer|Bayer]] hakufuata mwangaza kamili wakati wa kuorodhesha nyota.