Kutubu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 28:
Kutubu iko kwa umbali wa [[miaka ya nuru]] takriban 323 - 433 kutoka [[Jua]] letu, tofauti ya namba inatokana na vipimo vinavyoofautiana hadi sasa bila kupata usuluhisho<ref>Turner & alii (2013)</ref>. [[Mwangaza unaoonekana]] ni mag 1.98.
 
Kutubu ni [[nyota pachepacha]] yenye sehemu tatu : nyota kuu inayojulikana kama α Umi Aa (au A<sup>1</sup>) inayozungukwa na msindikaji mdogo α Umi Ab (au A<sup>2</sup>) na hizi mbili zinazungukana na nyota ya tatu α Umi B kitovu cha graviti cha pamoja.
 
Kutubu ilitambuliwa kwenye mwaka 1780 na [[William Herschel]] kwa darubini kuwa [[nyota pacha]] yaani mfumo wa nyota mbili za α Umi A na α Umi B. Wakati ule [[darubini]] ya Herschel ilikuwa kati ya vifaa bora duniani. Kwa kutumia [[Darubini ya Angani ya Hubble]] ilitambuliwa kwenye mwaka 2006 ya kwamba pia nyota ya A yenyewe ni nyota pacha na sasa Polaris yote inajulikana kama mfumo wa nyota tatu zinazoitwa α Umi A<sup>1</sup>, α Umi A<sup>2</sup> na α Umi B.