Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 13:
Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa ya [[wanasayansi]] wa [[astronomia]].
Galaksi kati yao hujumuika pia zikiathiriana kwa njia ya [[graviti]] yao na kuzunguka kitovu cha graviti cha pamoja. Galaksi hadi 50 zinazoshikamana katika [[kipenyo]] cha [[miaka ya nuru]] milioni 10 huitwa [[kundi la galaksi]] (ing. ''galaxy group''). Kuna pia galaksi mamia hadi maelfu kadhaa zinazoshikamana na hii huitwa [[
[[Jamii:Astronomia]]
|