Biografia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Biografia''' (kutoka Kiing. Biography) ni neno la kutaja hadithi ya kweli ya maisha ya mtu. Asili ya neno ni Kigiriki, hasa lilitaja ''bios'' (=...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Biografia''' (kutoka [[Kiing]]. '''Biography''') ni neno la kutaja hadithi ya kweli ya [[maisha]] ya [[mtu]]. Asili ya neno ni [[Kigiriki]], hasa lilitaja ''bios'' (= maisha) na ''graphein'' (= andika). Biografia kwa Kiswahili kilichozoeleka ni "'''Wasifu'''", japo kumekuwa na tabia ya kukopa maneno. Wasifu ukiandikwa na muhusika unaitwa "tawasifu" ambapo kwa Kiingereza wanaita '''autobiography'''.
 
Biografia ni sehemu ya [[fasihi]]. Kupitia maandishi mbalimbali, biografia inaweza pia kutengenezewa filamu na kadhalika.