Selsiasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 24:
Kipimo hiki kilianzishwa na Msweden [[Anders Celsius]] (1701 - 1744). Yeye aliita halijoto ya kuchemka kwa maji kama 0°C na halijoto ya kuganda kuwa 100°C. Namna ya kuandika ilibadilishwa baadaye kinyume.
 
Selsiasi ni kipimo kinachotumika zaidi kimataifa katika maisha ya kawaida. Kisayansi vipimo vya [[Kelvini]] vimekuwa kawaida. Siku hizi ufafanuzi wa kisayansi ya Selsiasi ni ya kuwa kizio kimoja cha Selsiasi ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati ya [[sifuri halisi]] (=0 [[K]] au Kelvini sifuri) na [[kiwango utatu]] cha maji (maji kubadilika kutoka barafu kuwa kiowevu (majimaji).
 
Skeli ya Selsiasi imelinganishwa na skeli ya Kelvini yaani kizio kimoja cha Kelvini ni sawa na kizio kimoja cha Selsiasi.
 
[[Category:Vipimo]]