Unguja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Unguja''' ni kisiwa kikubwa katika [[Bahari Hindi]] karibu na mwambao wa [[Afrika ya Mashariki]] karibu na [[Daressalaam]]. Unguja ni kisiwa kikuu cha [[Zanzibar]] ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya [[Tanzania]].
 
Unguja ina eneo la takriban 1.658 km² ikiwa na wakazi wapitao 460 000. Mji Mkuu ni [[Jiji la Zanzibar]] kwenye pwani la magharibi la kutazama bara.
Kisiwani Unguja kuna mikoa mitatu ya mikoa 26 ya Tanzania ambazo ni [[Mkoa wa Unguja Kaskazini|Unguja Kaskazini]], [[Mkoa wa Unguja Kusini|Unguja Kusini]] na [[Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi|Unguja Mjini Magharibi]].
 
==Viungo vya nje==