Uainishaji wa kisayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.]]
'''Uainishaji wa kisayansi''' ([[ing.]] ''biological classification, taxonomy'') ni jinsi [[wataalamu]] wa [[biolojia]] wanavyopanga [[viumbehai]] kama [[mimea]] na [[wanyama]] kwa vikundi kwenye ngazi mbalimbali. Inaweza kuitwa pia '''taksonomia'''.
 
Tangu muda mrefu watu walitambua ya kwamba wanyama au mimea mbalimbali wanafanana kati yao kwa namna moja au nyingine. Wataalamu walijaribu kupanga aina hizo kwa vikundi vyenye tabia za pamoja. [[Carolus Linnaeus]] alianza kuzipanga kwa muundo ulioeleweka kulingana na tabia za [[maumbile]] yao.