Mgahawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mgahawa ni mahali ambapo chakula kilichopikwa kinauzwa kwa umma, na ambapo watu huketi katika viti maalum vilivyoandaliwa pamoja na meza na kula...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mgahawa''' (au '''mkahawa''' kutoka [[kinywaji]] "[[kahawa]]") ni mahali ambapo [[chakula]] kilichopikwa kinauzwa kwa [[umma]], na ambapo watu huketi katika [[viti]] maalum vilivyoandaliwa pamoja na [[meza]] na kula.Na migahawa

Migahawa hiyo huwa na [[vyakula]] tofauti, kwa mfano [[wali]], [[nyama]],[[biliani]], [[viazi]], [[mayai]]. n.k pia.

Pia migahawa huwa na [[vinywaji]] kama vile [[soda]], [[maji]], [[maziwa]],[[juisi]], [[chai]]. n.k migahawa.

Migahawa hiyo hupatikana kwa wingi [[mji|mjini]] kwa mfano katika [[mashulenishule]],[[ofisiniofisi]]. n.k mgahawa.

Mgahawa hutoa [[huduma]] yake kwa [[bei]] ya kawaida. Baadhi ya [[watu]] ambao hupendelea kula kwenye migahawa ni [[wanafunzi]], [[walimu]]. n.k.
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Uchumi]]