Dizeli : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Kusahihisha Tags: Mobile edit Mobile web edit |
|||
Mstari 7:
Kwa ajili ya matumizi ya injini mbalimbali matokeo ya mwevusho yanachanganywa na kukorogwa kwa shabaha ya kupata diseli sanifu; mafuta asilia hutofautiana kikemia kwa hiyo viwango vya viowevu vyepesi na vizitoa vinavyopatikana katika mvweusho vinatofautinana kila mara.
Injini za dizeli ni kubwa na nzito zaidi kuliko injini za petroli kwa hiyo zinatumiwa zaidi kwa
Lakini katika nchi kadhaa kuna pia [[motokaa]] ndogo ya abiria yenye injini za diseli; hata kama bei ya injini ya diseli inapaswa kuwa kubwa kiasi kuliko injini ya petroli ole bei nafuu ya fueli hii inasababisha watu wengi kutafuta magari yenye injini ya diseli.
|