Tofauti kati ya marekesbisho "Kwale (ndege)"

162 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
Badiliko la sanduku la uainishaji
(Nyongeza picha)
(Badiliko la sanduku la uainishaji)
| oda = [[Galliformes]] (Ndege kama [[kuku]])
| familia = [[Phasianidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[kwale (ndege)|kwale]])
| bingwa_wa_familia = [[Thomas Horsfield|Horsfield]], 1821
| jenasi = ''[[Dendroperdix]]'' [[Austin Roberts|Roberts]], 1922

| nusufamilia = [[Perdicinae]]
''[[Francolinus]]'' [[James Francis Stephens|Stephens]], 1819

| bingwa_wa_nusufamilia = Horsfield, 1821
''[[Peliperdix]]'' [[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1856

| subdivision = '''Jenasi 6 za kwale:'''
''[[Pternistis]]'' [[Johann Georg Wagler|Wagler]], 1832

* ''[[ScleroptilaDendroperdix]]'' [[EdwardAustin BlythRoberts|BlythRoberts]], 18491922

* ''[[XenoperdixFrancolinus]]'' [[Dinesen]],James [[Lehmberg]], [[Svendsen]], [[Hans Jacob Hansen|Hansen]] & [[JonFrancis FjeldsåStephens|FjeldsåStephens]], 19941819
* ''[[Peliperdix]]'' [[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1856

| spishi = Angalia katiba
* ''[[Pternistis]]'' [[Johann Georg Wagler|Wagler]], 1832

* ''[[Scleroptila]]'' [[Edward Blyth|Blyth]], 1849
* ''[[Xenoperdix]]'' [[Dinesen]], [[Lehmberg]], [[Svendsen]], [[Hans Jacob Hansen|Hansen]] & [[Jon Fjeldså|Fjeldså]], 1994

'''Kwale''' (pia '''kware''') ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[nusufamilia]] [[Perdicinae]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Phasianidae]]. [[Spishi]] nne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.

Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].
10,297

edits