Mnyamapochi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza picha
Nyongeza bingwa wa oda
 
Mstari 14:
| bingwa_wa_ngeli_ya_chini = [[Johann Karl Wilhelm Illiger|Illiger]], 1811
| subdivision = '''Oda 7:'''
* [[Dasyuromorphia]] <small>[[Theodore Gill|Gill]], 1872</small>
* [[Didelphimorphia]] <small>Gill, 1872</small>
* [[Diprotodontia]] <small>[[Richard Owen|Owen]], 1866</small>
* [[Microbiotheria]] <small>[[Florentino Ameghino|Ameghino]], 1889</small>
* [[Notoryctemorphia]] <small>[[John A.W. Kirsch|Kirsch]], 1977</small>
* [[Paucituberculata]] <small>[[Édouard Louis Trouessart|Trouessart]] 1898</small>
* [[Peramelemorphia]] <small>Ameghino, 1889</small>
}}
'''Wanyamapochi''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[ngeli ya chini]] [[Marsupialia]] ambao wanazaa wadogo wao katika hali changa sana yaani baada ya muda mfupi wa mimba. Baada ya kuzaa wanaendelea kubeba wadogo ndani ya pochi au [[mbeleko]] ya ngozi iliyopo nje ya mwili juu ya tumbo. Humo kuna maziwa ambako wadogo wanaweza kunywa ilhali wanatunzwa vizuri na kukaa joto. Kadri wadogo wanavyokua wanaanza kutazama mazingira kutoka mbeleko na pia wanaanza kutembea nje wakirudi tena mbelekoni hadi wamefika umri wa kutosha wanaondoka.